Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mimi nadhan ili CCM wajisifie wameshinda kihalali sababu wanapendwa na wananchi basi waweke fair ground na tume huru kbs.Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.
Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.
Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza barabarani tena vijana wajinga kama ile October 29 wapigwe pin tena mpate ya kusema majukwaani.
Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.
Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.
Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza barabarani tena vijana wajinga kama ile October 29 wapigwe pin tena mpate ya kusema majukwaani.
Hebu tuonyeshe ccm mko wapi na mnajadili nini, maana wote tuko hapa hapa na tunajadili haya haya. Au wazee hamuwezi kwenda na speed ya mitandao?Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.