Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!
Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo.
Upinzania wa Tanzania hautaweza kuendelea kwa sheria hizi mabadiliko ni lazima sio kwa vyama bali kwa usalama wa nchi yetu.
Chadema hongera zao wameona mbali na kufanya chama chao kiwe cha kitaifa na sio chama cha viongozi.