Wapishi kuna somo lenu hapa kidogo

Laiti ungezijua faida za njegere....

100g za njegere zinakupa mpaka 9g za fibre, na fibre ni muhimu mno mno!

Ukizingatia zilivyo nafuu ningeshauri watu wale kadri wanavyoweza.
 
Tumia akili ...kwanini usiseme ni kiungo na mboga kwa sababu njegere ni mboga kamili nani kiungo kwa asilimia ndogo
 
Nani kasema? Njegere ni kama maharage au choroko. Waweza zipika zenyewe kama mboga au Waweza kufanya km kiungo katika vyakula vengine. I love njegere however zinavopikwa πŸ˜‹
 
Nitumie kiungo cha elfu mbili jamn ash nitapika km mboga tu maisha magumu hayaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…