Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Hapo una options 6 mkuu.Ilikuwa Typing error mkuu ... That's why nimeedit Uzi.
Nipe maelekezo
Ahsante mkuu nimeamua kuchukua option no 1 Ugali samakiHapo una options 6 mkuu.
1.Ugali + Samaki
2.Ugali + mayai
3.Wali + samaki
4.Wali + mayai
5. Chips kavu
6. Chips mayai
Wakuu nipo maskani Leo mda huu ndo nimemaliza kufua..
Ndani Nina
Mayai
Viazi mviringo.
Unga wa mahindi
Mchele
Samaki... chuzi/sotojo lililobaki Jana..
Naombeni msaada nipike Nini cha fasta Nile.
Ahsanteni.
Bandika sufuria jikoni ikishapata moto weka samaki chuzi, halafu mayai, unga wa mahindi na mwisho kabisamalizia unga wa mahindi utatoa bonge la Cocktail mkuu.........
....ila usiache kutukaribisha tuliokusaidia kupika!!!