Wapishi njooni hapa

Wapishi njooni hapa

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Wakuu nipo maskani Leo mda huu ndo nimemaliza kufua..
Ndani Nina
Mayai
Viazi mviringo.
Unga wa mahindi
Mchele
Samaki... chuzi/sotojo lililobaki Jana..
Naombeni msaada nipike Nini cha fasta Nile.

Ahsanteni.
 
Hapo una options 6 mkuu.
1.Ugali + Samaki
2.Ugali + mayai
3.Wali + samaki
4.Wali + mayai
5. Chips kavu
6. Chips mayai
Ahsante mkuu nimeamua kuchukua option no 1 Ugali samaki
 
IMG_20200812_141021.jpg
akili ndo imenituma hivi😆😆😆😆😆
 
Wakuu nipo maskani Leo mda huu ndo nimemaliza kufua..
Ndani Nina
Mayai
Viazi mviringo.
Unga wa mahindi
Mchele
Samaki... chuzi/sotojo lililobaki Jana..
Naombeni msaada nipike Nini cha fasta Nile.

Ahsanteni.

Bandika sufuria jikoni ikishapata moto weka samaki chuzi, halafu mayai, unga wa mahindi na mwisho kabisamalizia unga wa mahindi utatoa bonge la Cocktail mkuu.........
....ila usiache kutukaribisha tuliokusaidia kupika!!!
 
Back
Top Bottom