Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam
Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki.
Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive.
Ushauri kwa mabwana afya na maafisa Biashara wa mkoa, wilaya, kata, kijiji au tarafa. Mnapokagua leseni za hawa wapika keki fikeni mpaka jikoni.
Msilemazwe na hizo display za makeki ambayo yamerembwa na hayo ma icesugar.
Kama mbwai na iwe mbwai, najua mtakasirika ila wapishi wa keki baadhi yenu ni wachafu sana, Yaani mnaingiza pesa hizo alafu mnakuwa wachafu hivyo. Ebooooooo
Nawasilisha kwa hasira sana.