Wapishi wenzangu msaada

pole mamii uliza mtu anaeeza kuuliza pale game ya mcity unaeza ukapata maana vifaa vya jikon pale vipo

Ahsante poa ntachek bora umenipa muelekeo
 
Zamani zilikuwa zinapatikana wap/kuuzwa ujue huko kwenu ndo wanauza mabuchani huku kwetu anayeuza ni mhindi supermarket na hajafika hata robo 5,000 yaani ukiila tonge moja tu imeshaisha

Hata sijui mi nimekua na kuiona.tu..tena ilikua ya chuma nzito. Sasa hata ukiipata mara ya kuchina. Labda jaribu kuwauliza watu wa ughaibuni
 

kama vipi si unaitwanga tu kwa kinu! kijijini kwetu ndio wanavyofanya na kutengeneza sambusa za ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…