Wapishi wenzangu msaada

Wapishi wenzangu msaada

meat-grinder-gun.jpg

Mhhhh jamani hii nayo
 
Zamani zilikuwa zinapatikana wap/kuuzwa ujue huko kwenu ndo wanauza mabuchani huku kwetu anayeuza ni mhindi supermarket na hajafika hata robo 5,000 yaani ukiila tonge moja tu imeshaisha

Hata sijui mi nimekua na kuiona.tu..tena ilikua ya chuma nzito. Sasa hata ukiipata mara ya kuchina. Labda jaribu kuwauliza watu wa ughaibuni
 
Nahitaji ile meat hand grinder kibongo bongo naipata wapi hapo dar nimtume mtu anichululie na sh ngapi??
Maana hawa wahindi wa supermarket kumaynina zao nyama hata robo haijafika eti 5000 ???
Wizi huu msaada jamani hata iwe used inisagie nyama ya kula mwenyewe.

kama vipi si unaitwanga tu kwa kinu! kijijini kwetu ndio wanavyofanya na kutengeneza sambusa za ukweli
 
Back
Top Bottom