Wapishi zingatieni usafi mtu mzima kuendesha ni jambo la fedheha

Wapishi zingatieni usafi mtu mzima kuendesha ni jambo la fedheha

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Wapishi wengi inapokuja ishu ya usafi wanafeli chakula kinapikwa katika mazingira machafu kama una roho nyepesi huwezi kula.

How do you feel unamsababishia mtu kuhara kutokana na maandalizi mabovu ya chakula unachotayarisha? Huo ni ushirikina mtu anashindwa kufocus na kujenga taifa anaanza kupiga route za Kila dakika toilet.
 
Chakula kinawekwa kwenye ndoo afu unaweza Kuta ndio ya kuogea
Mama zetu dada na wapishi kama unafanya biashara hiyo jali usafi wa meza, viti na vyombo!

Hakikisha chakula kinakuwa kwenye moto fulani wa kufanya chakula kiwe na mvuto wa kulika,

Siku hz hotpot zipo za bei rahisi kama ndoo usiwe kama ya kulishia nguruwe au kuogea,

Smartness ni muhimu bhn
 
Aisee niliwahi kula mishkaki na kachumbali sehemu niliumwa balaa, amoeba ilisumbua sana, nikajisema sitarudia tena
 
Aisee niliwahi kula mishkaki na kachumbali sehemu niliumwa balaa, amoeba ilisumbua sana, nikajisema sitarudia tena
Noma sana mi kiepe na mishikaki buguruni vimenifanya mbaya kinoma
 
Back
Top Bottom