BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Chakula kinawekwa kwenye ndoo afu unaweza Kuta ndio ya kuogeaUsafi ni muhimu
Kingine vyakula vyao vya baridii,
Mama zetu dada na wapishi kama unafanya biashara hiyo jali usafi wa meza, viti na vyombo!Chakula kinawekwa kwenye ndoo afu unaweza Kuta ndio ya kuogea
Noma sana mi kiepe na mishikaki buguruni vimenifanya mbaya kinomaAisee niliwahi kula mishkaki na kachumbali sehemu niliumwa balaa, amoeba ilisumbua sana, nikajisema sitarudia tena