Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake binafsi!

Asante sana kwa kuweka nada hii hapa JF. Yaani hawa jamaa wanakera sana. Muda mwingi unatumika kwa mambo ya KIJINGA KABISA. Unakuta mtu anaanza kuelezea kuhusu jina lake bandit eti JENERETA. Nashukuru Mungu nimeachana na kipindi chao.

Tatizo wamejikita kwenye uchawa wa CCM na kusema wazi kuwa ni chama chao, ila la kukatisha kusoma magazeti na kuanza porojo za nje ya kipindi inakera sana na inaonesha kituo hicho cha redio hakina wasimamizi.