Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Jana baada hafla ya kupokea ripoti ya Tume ya Jaji Chande redio Wapo ilikuwa na kipindi cha maoni ya wasikilizaji, msikilizaji mmoja alituma maoni yake ya kutokubaliana na baadhi ya hoja, cha kushangaza mtangazaji mmoja kati ya wawili walikuwa studio aliamua kumkataza wenzake kuendelea kuyasoma maoni huku akimtishia kuwa ataingia matatani!
Wapo Redio linajulikana nyie huwa hamsomi maoni hasi ya wasikilizaji wenu kwa hili la kuonyana studio si jambo jema kwenu.
Wapo Redio linajulikana nyie huwa hamsomi maoni hasi ya wasikilizaji wenu kwa hili la kuonyana studio si jambo jema kwenu.