Wapo radio lisambalitisheni hili kundi la wachekaji watatu

Wapo radio lisambalitisheni hili kundi la wachekaji watatu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Wapo Radio vipindi vyenu kuanzia saa moja na robo ausubuhi hutangazwa na kundi la watanazaji watau, hawa watangazaji hupenda kutumia muda mwingi wakichekacheks!

Badala ya kutangaza kinachotakiwa kwani kitendo hiki hutupotezea muda wa kusikiliza tunachokitaka.

Pamoja na kuchekacheka hili kundi hupenda kufafanua mambo ambayo hawana uhakika nayo! Na hasa ya kisiasa wao hujifanya nguli wa siasa za chama cha CCM ikiwemo kutokuwa na vigugumizi vya kusoma ujumbe usioifurahisha CCM jambo linalowapotezea sifa waandishi wa habari.
 
Wapo radio kitambo sana nilisikiliza meza ya busara mwaka 2003-2004 wakati wa Elibariki Minja huku nikifatilia gazeti la msemakweli
Anyway hata gamanywa ni pro ccm kwa hiyo hawawezi kupingana na boss wao
 
Uchaguzi wa 2016 nakumbuka Polepole aliwaingiza kwenye mkataba wa kuifanyia kampeni CCM.
 
Back
Top Bottom