WAPO Radio msijilazimishe kutangaza habari zinazohusu Upinzani kama Mungu wenu hataki

Nadhani ni muhimu zaidi chadema wakafungua kituo cha radio na television japo hakitadumu kwa namna wanavyolumbana..

hii itasaidia sana kuondoa gubu na mihemko kama yako gentleman, dhidi ya matangazo ya radio stations zingine 🐒
 
Ile chadema Tv iliishia wapi
 
Mkuu unajua kuandika za wapinzani ni rahisi sana ILA kuandika za huyu mtawala wa miaka yote ni ngumu sana kwani unatakiwa kumuasi Mola japo kwa masaa machache.
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kusikiliza redio hizo?
 
Hii radio ni ya hawa ''manabii'' wa siku hizi nadhani. N lazima waogope kwa sababu siku hizi manabii wengi wanaiogopa sana serikali kwa kuwa wanajua wanafanya utapeli.
 
Hii radio ni ya hawa ''manabii'' wa siku hizi nadhani. N lazima waogope kwa sababu siku hizi manabii wengi wanaiogopa sana serikali kwa kuwa wanajua wanafanya utapeli.
Hii redio ni ya kanisa rasmi la TAG sio manabii wanaoilipa CCM ili waweze kutumia viwanja.
 
Acha kukomaza mishipa ya shingo kwa hoja mfu. Kwani alipoanzisha WAPO Radio ulimchangia chochote? Kama una hisa RUKSA kulalamika.

Vilevile kwani hiyo Radi/ TV yako inashika kituo kimoja tu? Kama inashika vingi basi hama tu nemda kingine.
 
Mbwakoko kakata kamba, amemtoroka bwana yake.
 
Na askofu wao wa nchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…