Wapo Special Thread: Andika Sentensi malizia na neno ''Wapo''

Wapo Special Thread: Andika Sentensi malizia na neno ''Wapo''

Kumbe hata huzururi majukwaani kuna mmoja katangaza jana kuwa anayo.
Kweli mpendwa sizuruli mitaani,tangia waanze kuzitoa zile zinazotoaga milio ya PAAAAA! Kutoka viunoni mwao,nimekuwa muoga sana.ila nadhani hiyo bikra itakuwa ya hii kitu wanayoisema vijana wa siku hizi eti marinda [emoji41]
 
Nasikia JF kuna wakwepa kodi... wapoooo

NB: Huu mstari kwa hisani ya Mtukufu
 
Kuna wanatanzania wanaoshikwa akili na mange kimambi.... Wapoooooo!!!!
 
Back
Top Bottom