Wapo wanaofanikiwa lakini,99% ,huangukia pabaya sana!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Mwanamke!!!!…maisha mazuri hayaji kwa kupanua panua miguu yako hovyo hovyo…

Umalaya huleta nuksi sana kwenye maisha..wengi wenu hamjui tuu..
Yaani kwanza Malaya hanaga haiba ya kike..by 100%, hana upendo (True love) yaani hanaga haya wala aibu..

Umalaya huleta mental health…problem, mwanamke yoyote Yule Malaya hanaga akili kichwani..(ubongo wake humtuma atoe sambusa yake apate hela na amdake yoyote yule aliyopo mbele yake) ni lazima dishi liyumbe tuu..by 100,---nyie wachunguzeni!!

Hembu jiambatanisheni na kujipambania katika rizki za halal..Ili uepuke mwisho mbaya wa maisha yako!!

#Akili ikijijengea mazoea ya fedha nitapata kwa mwanaume yoyote yule ajaye mbele yangu,ni janga na mazoea ambayo kuyaondosha ni ngumu mno same tu, (Uteja tu)

Babu yenu namalizia hapa jumapili ya leo,

TUPIGE POROJO!..SASA.
 
Once a whore always a whore
Umalaya ni kama unga aka cocaine hauonjwi,although wanawake wengi wameshajiingiza katika umalaya lakini wakajitoa humo haraka sana,kwa shurba walizozipata,wale makonkodi wengi wameshafanyiwa kila aina ya uovu na wamefaulu ikiwemo kubakwa na wanaume zaidi ya watano lakini wakafaulu na kuipenda kazi yao!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…