Wapo wanawake 'katili'. Amuua mumewe, amkata vipande, na kumchemsha jikoni!

labda watu wafikirie kidogo; ni kipi rahisi? Kumuua mtu au kumkatakata vipande baada ya kumuua? Maana naona watu wameshikilia upande wa mtu kugeuzwa supu (mwenye mmama amesema aliweka na mdalasini na vitunguu saumu kupotezea harufu).

Aisee killing is enough bana....sasa hadi unamkata kata na kumuunga kama unapika mboga? Good grief...that's just too much.
 
bado sidhani huyo lady ana akili za kawaida. achia mbali kumuua, then kumkatakata, kumchemsha......still having courage to do all this..........no! something must be wrong my dear! completely abnormal mind in my opinion
 
Kichwa cha habari kingekua "mwanamke katili" ingependeza zaidi.

Neway huyo mama kweli ni katili. . . au pengine ni mgonjwa.
 
Uchungu wa jianamme kumuingilia binti yangu..I can kill, chemsha and eat the man!
Who does he think he is?

unampaka na mayonaise,unatafuta na salad....unakula kama donner meat vile na chips lol
 
Jinsi nilivyo mpweke huku niliko...I could use me that bloody husband for sure......SC upo??
 
Sidhani kama unaweza kuuengua ukatili hapo. You have to be a katili to do all that she allegedly did.
NN am telling you hainaukatili kama unavyoichukulia! Uchungu wa mwana imagine awe ni mwanao wa miaka say minne au tano umkute mwanaume anakazana kumbaka, kama kuna silaha yoyote karibu ni rahisi kunyanyua aisee! Ikitokea ameua ndo akili inapanic anatafuta mbinu ya kuficha ushahidi.
 
Lakini ukimuangalia huyo mama kwa kweli huwezi kuuona ukatili wowote; tena ukimuangalia unaweza kuona anafanana na mama fulani tu wa mtaani penu. Lakini inawezekana kabisa kuwa mtu anapofika mahali pa kilele cha kuvumilia anafanya nini? Haihalalishi kuuliwa hivyo lakini wapo watu wanafanya hivyo. Nakumbuka kuna kesi hapa imewahi kutokea ya jamaa kamuua girl friend wake katika kujaribu kudispose the body akaamua kumuweka kwenye BBQ!
 
bado sidhani huyo lady ana akili za kawaida. achia mbali kumuua, then kumkatakata, kumchemsha......still having courage to do all this..........no! something must be wrong my dear! completely abnormal mind in my opinion

Najaribu kujiuliza njia gani angefanya kupoteza ushahidi!
 

Ni kweli kabisa Mwanakijiji! Mimi simlaani kwanza hadi niexhauste possibilities
 
Huyo angemkata mdudu wake tu hata kesi angekuwa hana. Afu angeishi ku regret ushetani wake. Nsivowapenda wanaume wanaotembea na watoto zao.
 
Utetezi wa huyu mama ni kwamba, mumewe alitaka kumuacha yeye mama mtu na kumuoa mtoto wake, jambo ambalo huyu mama hakulihafiki, na alishawahi kumfumania mara kadhaa akitaka kumbaka, lakini yeye alizuiya na hakuwa kumbaka, sasa ili kuzuiya hayo yasitokee tena ndio akachukua uwamuzi wa kumwekea vidonge kwenye chai, kisha kumnyonga.

Baada ya kuona kuwa amua na yupo hatarini kushikwa na ushahidi akaamua kuukatakata mwili wa marehemu na kuupika, uku akichanganya na viungo vya chakula (korma), ili kupoteza ushahidi, baba mwenye nyumba akashtukia harufu si ya kawaida... Akaita watu wa usalama.

Kama angechelewa just for 5hrs, huyu mama angeula mwili wa marehemu kwa kisingizio cha kupoteza ushahidi. Bahati nzuri wamewahiwa.


Dah! Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi.
 
Mkuu unanichekesha, ina maana unataka kutuambia kuwa watu wote makatili wana sura zinazo onyesha ukatili? Hivi sura za kikatili zinakuwaje...!
 
Lizzy huyu mama msimuhukumu kwanza exhauste scenerio zote.

MJ kuua sawa tunaweza kusema ile hali ya hasira haikumpa muda wa kufikiria hivyo akafanya kile alichoweza kwa wakati ule.Ila kumkatakata kisha kumchemsha. . . ?That's a bit too much. Either ana roho ngumu sana au akili yake haijakaa sawa.
 
Sijawahi sikia hili neno, na sidhani kama wengi wanalifahamu. Bora mdudu hata watoto wanaelewa namaanisha nini.

basi ndo umelisikia leo
mdudu ni neno la utoto zaidi...
unatukumbusha mbaali..
ulicheza baba na mama?kombolela????lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…