Wapo, wanachungulia jf mara kwa maraHawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Mkuu nakushukuru kwa kunifumbua macho inawezekana ni sababu ya suti na taiUna uhakika hawapo nasi kwa Nguo zao mpya Mkuu? Mimi mbona nawaona sana tu na tena katika ' threads ' zangu za Kisiasa au Kijasusi au Kingono huwa wanajitokeza mno kuchangia. Hata hivyo unahitajika umakini mkubwa sana kuweza kuwajua / kuwang'amua vinginevyo utapata shida kuwajua ila amini maneno yangu kwamba hao wawili uliowataja hapo juu wapo kila siku humu JF kwa Nguo zao mpya huku zile za zamani wakiziacha ama kwa muda tu au kimoja.
FaizaFoxy yumo. Juzi kati nimeona bandiko lake moja akikosoa lugha ya kumix r na lHawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Kwa Ritz naweza kukubali hilo ulolisema ila Fayza nafikiri jina la mwenye nchi maana yule Fayza kwa majina anayafuatilia sanakuhusu faiza na ritz ni kwamba project iliyowafanya wawe active sana jf tayari walishaikamilisha.
kwa sasa wanakula pension zao.
hizi 2 nahisi ni ID nyingine anazotumia Nape.Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Kitengo cha Propaganda Mtandaoni cha CCM kwa sasa kimefutwa kwasababu hakina umuhimu zama hizi.Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Na kujipendekeza pia..!!!Duuu unataka kunambia kina WAKUDADAVUA anajishebedua tu?
Uongo huo.Una uhakika hawapo nasi kwa Nguo zao mpya Mkuu? Mimi mbona nawaona sana tu na tena katika ' threads ' zangu za Kisiasa au Kijasusi au Kingono huwa wanajitokeza mno kuchangia. Hata hivyo unahitajika umakini mkubwa sana kuweza kuwajua / kuwang'amua vinginevyo utapata shida kuwajua ila amini maneno yangu kwamba hao wawili uliowataja hapo juu wapo kila siku humu JF kwa Nguo zao mpya huku zile za zamani wakiziacha ama kwa muda tu au kimoja.
Natamani siku moja nikuone ingawa tuna itikadi tofauti lakini michango yako ina kitu cha kujifunzaUongo huo.
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!