Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Wapo, wanachungulia jf mara kwa mara
Screenshot_2018-04-24-23-21-05.jpg
 
Una uhakika hawapo nasi kwa Nguo zao mpya Mkuu? Mimi mbona nawaona sana tu na tena katika ' threads ' zangu za Kisiasa au Kijasusi au Kingono huwa wanajitokeza mno kuchangia. Hata hivyo unahitajika umakini mkubwa sana kuweza kuwajua / kuwang'amua vinginevyo utapata shida kuwajua ila amini maneno yangu kwamba hao wawili uliowataja hapo juu wapo kila siku humu JF kwa Nguo zao mpya huku zile za zamani wakiziacha ama kwa muda tu au kimoja.
Mkuu nakushukuru kwa kunifumbua macho inawezekana ni sababu ya suti na tai
 
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
FaizaFoxy yumo. Juzi kati nimeona bandiko lake moja akikosoa lugha ya kumix r na l
 
kuhusu faiza na ritz ni kwamba project iliyowafanya wawe active sana jf tayari walishaikamilisha.

kwa sasa wanakula pension zao.
Kwa Ritz naweza kukubali hilo ulolisema ila Fayza nafikiri jina la mwenye nchi maana yule Fayza kwa majina anayafuatilia sana
 
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
hizi 2 nahisi ni ID nyingine anazotumia Nape.
 
Wanaccm hawaachiani maji mezani - Kikwete

Hawa watu wa pwani baada ya ccm kupelekwa kanda ya ziwa wametupwa kapuni
 
Ubaguzi ndani ya mfumo wa ccm hauwezi kuisha kamwe
 
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Kitengo cha Propaganda Mtandaoni cha CCM kwa sasa kimefutwa kwasababu hakina umuhimu zama hizi.

Kwa sasa kuna kitengo kinaitwa Police ndio kimbilio lililobaki la CCM.
 
Duuu unataka kunambia kina WAKUDADAVUA anajishebedua tu?
 
Una uhakika hawapo nasi kwa Nguo zao mpya Mkuu? Mimi mbona nawaona sana tu na tena katika ' threads ' zangu za Kisiasa au Kijasusi au Kingono huwa wanajitokeza mno kuchangia. Hata hivyo unahitajika umakini mkubwa sana kuweza kuwajua / kuwang'amua vinginevyo utapata shida kuwajua ila amini maneno yangu kwamba hao wawili uliowataja hapo juu wapo kila siku humu JF kwa Nguo zao mpya huku zile za zamani wakiziacha ama kwa muda tu au kimoja.
Uongo huo.
 
Hawana cha kusema au kutetea jitwe linapiga hawakitegemea
 
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!

Walikuwa CCM zamani, baada ya kushtukia ishu za DU wakabadili gear angani, sasa wako zao CDM kwa IDs mpya.
 
Back
Top Bottom