Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Wow!! Habari mdau!! Kiukweli Mimi si mchangiaji sana lkn huwa nakukubali sana kwa kuja vitu na kurekebisha kiswahili. Siasa ni haupo lkn upo vizurivka MENGI. Hongera, endelea kuwepo utuachie maufundi na MAADILI. Shikamoo FaizafoxUongo huo.
Uongo,njoo na ukweli.Uongo huo.
Dah! He was the most Insane member of JF, mods wanajua walimpeleka wapi. Bring Him BackUmenikumbusha Malaria Sugu
Acha kamba wewe...utani na lizaboni na faiza foxy uliuanza lini?Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Muombee kwa mods wamfungulieUmenikumbusha Malaria Sugu
Dini tu ndio ilikuwa inamharibuDah! He was the most Insane member of JF, mods wanajua walimpeleka wapi. Bring Him Back