Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

Uongo huo.
Wow!! Habari mdau!! Kiukweli Mimi si mchangiaji sana lkn huwa nakukubali sana kwa kuja vitu na kurekebisha kiswahili. Siasa ni haupo lkn upo vizurivka MENGI. Hongera, endelea kuwepo utuachie maufundi na MAADILI. Shikamoo Faizafox
 
Bado Lizaboni!!! Huyu jamaa hili jina lafanana na Mtaa maarufu uliopo Songea. Sijui matokeo huko. Uzuri wa huyu akiwa upande wako km ni mechivya manishano lazima mshinde, anskomaaa HD mwisho. Ni mfuasi mzuri sana. Tunakukosa kule kwenye Siasa.
 
Haya tushamuona mmoja kumbe bado yupo,
huyu ,riz atakuwa busy kariakor.

@lizabon sijui atakua wapi,labda yalishamfika makubwa...
 
Siasa za mtandaoni hazina maslahi. Ni bora ukashike jembe ulime hata mchicha unaweza ukauza mafungu mawili matatu ukapata hela.
 
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
Acha kamba wewe...utani na lizaboni na faiza foxy uliuanza lini?
umeingia lini JF?
Au ulikuwa na ID nyingine?
 
Back
Top Bottom