Wapo wapi Miso Missondo

Wapo wapi Miso Missondo

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.

But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.

Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?

Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI zaidi ya DJ Ally B

images (6).jpeg
download (1).jpeg
 
I wish kama watu waki-trend wakiwa kwenye maeneo wapate support huko huko kwenye zone Yao. Shida maokoto inawafanya wazee wa hizi kazi kujifanya "wanawaleta mjini", of course ela watapata ila hata waliowaleta mjini watapiga ela zaidi plus interviews za kutosha. Baadae inakuwa sio ajenda tena
 
Huwafuatilii juzi tu alikua Morogoro kwenye ziara ya Mama! Kijana bado ana kijiji chake!

Ingawa Ally bado anafanya vizuri ila kashuka, Ally alikua anaringa kwenye kazi jamani!! anakujibu bila 4M siji na hapo umkatie return ticket umlipie hotel na chakula!!

Now anapiga yeye simu kuulizia show!
 
😂Mwana aliona atumie upepo vizuri. Nilimsikia yeye anajitetea kuna siku amelipwa pesa ndogo mpaka Boss akasema aongezwe kutokana na vibe aliloleta
 
Jogoo la shamba haliwiki mjini, bora wangebaki kule kule kwao wangezidi kufuatiliwa sana, kuliko kuja huko mjini Dar ambapo kila siku kuna vingi vituko watu wanafuatilia.
 
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.

But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.

Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?

Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI zaidi ya DJ Ally B

View attachment 3063352View attachment 3063353
Pierre Liquid yupo wapi
Alipanda ndege hadi misri
 
Wako wapi wale ndugu wa gymnastics walioshinda America got talent? Nilidhani wangeshiriki Olympics za mwaka huu.
 
Huwafuatilii juzi tu alikua Morogoro kwenye ziara ya Mama! Kijana bado ana kijiji chake!

Ingawa Ally bado anafanya vizuri ila kashuka, Ally alikua anaringa kwenye kazi jamani!! anakujibu bila 4M siji na hapo umkatie return ticket umlipie hotel na chakula!!

Now anapiga yeye simu kuulizia show!
Hivi what was so special kwake? Ile miluzi au kitu gani?
 
Back
Top Bottom