Wapo wapi Miso Missondo

Wapo wapi Miso Missondo

Wewe ukianbiwa best naso kun sehemu anapokelewa kifalme kuliko hata diamond utashangaa.
Hao wana maeneo yao
 
Ni kweli Miso Missondo ni zaidi ya Ally B. Misso Missondo anaweza kutengeneza remix na midundo kama maDj wa kimataifa wanavyofanya. Ally B yeye anapiga tu ngoma na miluzi.
 
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.

But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.

Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?

Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI zaidi ya DJ Ally B

View attachment 3063352View attachment 3063353

Muda na wakati
Majira ya Nukta.

Wakti ni ukuta.

Kila kitu kina muda wake.

Alikuja Liquid kapotea.
 
kuna mambo yanachekesha sana ni swala la muda wajuzi wa mji wanasemaga
 
1 hit wonder.

Kwisha habari yao.

Walishindwa kutumia trend kubaki kuwa relevant. Ndio imetoka hiyo ikirudi pancha.
It's all about survival of the fittest!.. kuna siku hata Nanauka atasahaulika, we need one who changed over time

Kulikuwa na wasanii wakubwa sana kabla ya diamond, kina mb dog kipindi hiko. Mr sharobaro record "Bob junior".
 
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.

But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.

Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?

Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI zaidi ya DJ Ally B

View attachment 3063352View attachment 3063353
Yaani NGADA FC PYUWAAAAAAAAAAAAAAAAAA..!!!
 
Back
Top Bottom