Wapo wapi Neema Diwani, Flora Nducha na Misanya Dismas Bingi?

Wapo wapi Neema Diwani, Flora Nducha na Misanya Dismas Bingi?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane. Kifupi Flora Nducha na Misanya walikuwa Redioni huku NEEMA Diwani akiwa ITV. Matusi na kebehi sio busara.
 
Dah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
 
Ni Misanya Bingi na sio Bisanya,pia Mzee wa kipusa ni Abdalla Majura ana redio yake kule Dodoma ingawa anakaa Tegeta Dar
Majurah hakai tegeta anakaa mbweni mkuu


Nisaidie jamaa mwingine alikuwa anaiywa abdalaha hussem dullah
 
Misanya Bingi: Naaam naam naaam ni saa kumi na moja na robo wakati mwingine wa Kwanja Tme...

Daaaaah Enzi hizo ITV nshaangalia Double Dragons ya Watoto Wetu hapo saa 10 na nusu iliyotanguliwa na BBC news saa kumi kamili.
 
Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane. Kifupi Flora Nducha na Bisanya walikuwa Redioni huku NEEMA Diwani akiwa ITV. Matusi na kebehi sio busara.
Misanya bingi yupo udsm mhadhiri, neema diwani yuko usa anaishi huko, nducha????
 
Misanya Bingi yule wa Chemsha Bongo hahah aligraduate masters juzjuzi hapo UD kama sijakosea

Flora Nducha mara ya mwisho nilimsikia VOA swahili kama sio BBC swahili
Nikisikia Misanya Bingi moja kwa moja nakumbuka KIPUSA radio one stereo
 
Back
Top Bottom