Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Duh! ..Masters juzi juzi!! Mtu alishalamba PHD kitambo ....Misanya Bingi yule wa Chemsha Bongo hahah aligraduate masters juzjuzi hapo UD kama sijakosea
Flora Nducha mara ya mwisho nilimsikia VOA swahili kama sio BBC swahili
Basi sawa nilisahau kumbe alishakuwa Dkt. Habari nyingi mkuu mpaka nasahau hahaha ila poa kwa kunikumbushaDuh! ..Masters juzi juzi!! Mtu alishalamba PHD kitambo ....
Hiyo ndyo jamii forums yawakumbusha mbaaaaliiDah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
Hapo umetuibia mkuu. Mzee wa kipusa ni abdallah majura. Yuko dodoma anatangaza redio flani nimeisahauDah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
Ni Misanya Bingi na sio Bisanya,pia Mzee wa kipusa ni Abdalla Majura ana redio yake kule Dodoma ingawa anakaa Tegeta DarDah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
Daaaaa JF kuna mengiNi Misanya Bingi na sio Bisanya,pia Mzee wa kipusa ni Abdalla Majura ana redio yake kule Dodoma ingawa anakaa Tegeta Dar
Majurah hakai tegeta anakaa mbweni mkuuNi Misanya Bingi na sio Bisanya,pia Mzee wa kipusa ni Abdalla Majura ana redio yake kule Dodoma ingawa anakaa Tegeta Dar
Kumbe tupo wengi tulizaliwa 90Misanya Bingi: Naaam naam naaam ni saa kumi na moja na robo wakati mwingine wa Kwanja Tme...
Daaaaah Enzi hizo ITV nshaangalia Double Dragons ya Watoto Wetu hapo saa 10 na nusu iliyotanguliwa na BBC news saa kumi kamili.
Dr. Misanya BingiNi Misanya Bingi na sio Bisanya,pia Mzee wa kipusa ni Abdalla Majura ana redio yake kule Dodoma ingawa anakaa Tegeta Dar
Mpo wengiKumbe tupo wengi tulizaliwa 90
Misanya bingi yupo udsm mhadhiri, neema diwani yuko usa anaishi huko, nducha????Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane. Kifupi Flora Nducha na Bisanya walikuwa Redioni huku NEEMA Diwani akiwa ITV. Matusi na kebehi sio busara.
Misanya hakuwa mzee wa kipusa bali Abdalah MajuraDah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
MZEE WA KIPUSA NI ABDALLAH MAJURADah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
Nikisikia Misanya Bingi moja kwa moja nakumbuka KIPUSA radio one stereoMisanya Bingi yule wa Chemsha Bongo hahah aligraduate masters juzjuzi hapo UD kama sijakosea
Flora Nducha mara ya mwisho nilimsikia VOA swahili kama sio BBC swahili