Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuingia kwa pupa?How?Mfumo uliwahitaji for the time being halafu wakabaki na maisha yao.Kwani unawadai?Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?