Wapo wapi watangazaji hawa?

Roy Maganga yuko TBC hajafa mke wake anaitwa Stella Situmbi,tena Roy Maganga amejaa Instagram,mkuu usizushe kifo
 
Wanajamvi naomba kujua walipo kwa sasa watangazaji wa zamani wa chanel five.Adamu Mubago(bab kubwa) na pia Abba one na Lil Tk(back 2 back)
Abba katizaktiza viwanja vya Boko/Bunju utampata.
 
Umewaacha Kama akina uncle Sam, Joyce mfinanga. Ivi Loi Yuko wapi mkuu. Maana mke wake aliibukia tbc lakini yeye kimya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…