Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
Watu kukutoa roho ni dk sifuri tuIli kutoboa katika jamii za Watanzania usisahu kuzingatia jadi. Nafikiri imeeleweka. Kuna watu ni komesha, wamefuata jadi wapo maofisi makubwa yenye hela, hata uweke sumu kwenye chakula hali na anashtukia. Hao ndio wanadumu katika ulimwengu huu!
Atakuja kufa Mungu akipenda. Katika Tanzania ye leo watu wanaharibiana sana kupitia jadi.
Nakuhakikishia, katika Tanzania hii, ukiwa na mafanikio na nguvu zako za kiroho ni dhaifu haufiki mbali. Watu wana wivu balaa!
Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafananaāutofauti ni mdogo sana.
Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake".
Nakumbuka mwaka fulani huko Kilwa Kipatimwa, watoto wengi wa shule ya msingi walifaulu na kwenda sekondari. Miaka hiyo, ukienda sekondari ilikuwa kama umeenda Ulaya. Wanafunzi wa kidato cha nne walifaulu, wa kidato cha sita pia wakafauluākaribu wote wakaenda UDSM wakitokea shule tofauti.
Miaka hiyo, kazi za kuokota ziliwaleta wote katika ajira nzuri, wakaanza kujenga vijijini kwao. Thubutu! Ndoto zao zilikatishwa ghaflaāmisiba tu ndiyo iliyotawala. Kwa muda mfupi, wote walifariki kwa hali za kushangaza. Mchezo ukaisha hapo.
Mfano mwingine:
Jamaa mmoja aliyekuwa polisi Dar es Salaam kwa miaka mingi hakuwa anarudi likizo. Mwaka mmoja akakopa pesa na kuamua kujenga nyumbani kwao. Nyumba ilipokamilika, akaja likizo ili afaidi matunda ya kazi yake. Siku ya kwanza tu, asubuhi wakaamka wakimuitaāhakuamka. Alikuwa tayari maiti.
Hata ndugu wa damu hawaachi. Brother wangu, ambaye tumezaliwa baba mmoja na mama mmoja, alikuwa na ramani nzuri sana ya maisha. Sasa hivi amechoka kama mzee, ilhali ana miaka 46 tu. Sasa anajichomea mkaa ili apate mkate wa kila siku. Amepigwa na kitu kizito kisichoeleweka, hata akilima hekari tano, mavuno yake hayazidi debe moja au mbili.
Mimi mwenyewe niliwahi kufungua duka la bidhaa mchanganyiko, nikawekeza mamilioni. Lakini cha kushangaza, mauzo kwa siku yalikuwa shilingi elfu 20, elfu 30, mara chache elfu 40. Watanzania wana wivu na uchawi mwingi sana. Kama hujui namna ya kuwakabili, hutafanikiwa hata uwe na juhudi na ubunifu kiasi gani.
Nimeona watu wakiacha kazi nzuri bila sababu za maana baada ya kurogwa.
Watu wana wivu mwingi sanaāwanaokuchekea mdomoni, moyoni hawamaanishi hivyo.
Kuna jamaa bush flan aliuziwa ndinga na mzungu rafiki yake.Ila mzungu alikua jiji flani kaskazini huko,ikabidi jamaa atume dereva wa palepale bush akaifate ndinga.Kuna raia wakampigia dereva simu akiwa njiani anarudi kuwa sijui kama hiyo ndinga itafika salama.Kweli ndinga ikapiga chini ikaja inavutwa hadi gereji.Ikaitengenezwa halafu usiku mmoja kabla jamaa hajaichukua gereji,fundi akaenda kupigia misele viwanja vyake akazinguana na wahuni wakaivunja vioo,akiwa anakimbia msala wa wahuni agonga mtu akafa.Fundi akala kona mkoa mwingine.Ndinga ikaenda polisi
Mtu wa kwanza kunukuliwa kifo chake, amenukuliwa kwenye Biblia.Kuna kajiukweli fulani ila sidhani kama ni ndugu labda washindani
Hahaha! Watu wa jadi kutoka vijijini wakienda kununua gari mbali kwanza hawaagi. Pili, wanaenda wakiwa wamejipanga. Wanaifunga tunguri na kurudi nayo vijijini salam salminjKuna jamaa bush flan aliuziwa ndinga na mzungu rafiki yake.Ila mzungu alikua jiji flani kaskazini huko,ikabidi jamaa atume dereva wa palepale bush akaifate ndinga.Kuna raia wakampigia dereva simu akiwa njiani anarudi kuwa sijui kama hiyo ndinga itafika salama.Kweli ndinga ikapiga chini ikaja inavutwa hadi gereji.Ikaitengenezwa halafu usiku mmoja kabla jamaa hajaichukua gereji,fundi akaenda kupigia misele viwanja vyake akazinguana na wahuni wakaivunja vioo,akiwa anakimbia msala wa wahuni agonga mtu akafa.Fundi akala kona mkoa mwingine.Ndinga ikaenda polisi
Una feel attacked by mleta mada. Eti unaigiza hujui kama uchawi upoHiyo ni imani ya hovyo ,hakuna anayeweza kukurudisha nyuma ...Hakuna ndugu Yako anayekuroga ..
Ukishaanza kuamini hayo mambo basi unakuwa kama zombie.
Okay, kabla sijaja si lazima nijue kwanza nakujaje?Njoo ujioneeš
Panda busOkay, kabla sijaja si lazima nijue kwanza nakujaje?
Nina chuma changu.Panda bus
Njoo mpaka Newala kisha niambie nije kukufataNina chuma changu.
Hakika,Hiyo ni imani ya hovyo ,hakuna anayeweza kukurudisha nyuma ...Hakuna ndugu Yako anayekuroga ..
Ukishaanza kuamini hayo mambo basi unakuwa kama zombie.
NakuambiajeNjoo mpaka Newala kisha niambie nije kukufata
Kama hapaNakuambiaje