Wapogoro na Waluguru, ni kweli hawajui pa kuweka space kwenye SMS?

Wapogoro na Waluguru, ni kweli hawajui pa kuweka space kwenye SMS?

Hua anaandika " mtu ana weka mambo yake hadha rani una tegemea nini. ..."
Watu wanaoandika hivi huwa ni smart na proficient sana katika Inglishi kwa sababu Kimalkia chenyewe hakina hila ya kuunganisha viambishi njeo na nafsi kwenye vitenzi.😂😂😂
 
Back
Top Bottom