Wapogoro na Waluguru, ni kweli hawajui pa kuweka space kwenye SMS?

Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.

Wenzangu mmewahi kumbana na hili?

Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.


Hao ni Wazaramo waloenda kuishi Morogoro hasa wapogoro.

Wanafanana sana kwenye mambo mengi mno.

Ni dugu boja πŸ˜›πŸ˜›
 
Hao hata kuongea hawana koma wala kituo wala swali,
Mtu anaongea mwanzo mwisho we unakua mpenzi msikilizaji.
Kutana na mnyakyusa we ongea akikupiga kichwa kimoja tu unanyamaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…