Wapuuzi wachache wanaenda kufanya tuaibike Mwaka 2027

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo.

Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata ukakasi maana naamini kabisa sisi (TANZANIA) ndiyo tutatia aibu!

1.SHIRIKA LA NDEGE (ATCL) - Hawa jamaa nilitegemea pamoja na malalamiko lukuki kutoka kwa Abiria na wateja wao angalau wangekuwa wameyafanyia maboresho yale mapungufu ambayo yamekuwa kero kwa muda mrefu,lakini kinyume chake ndiyo mambo yanazidi kuwa ya hovyo kila uchwao!

Kama wateja wachache tu wa humu ndani (Nchini) tumewashindwa,Je hao wengi kutoka mataifa tofauti tofauti watakapotua hapa nchini na kuelekea mikoani pengine kutazama mechi na kwenye utalii,Tutawaweza?

2.SHIRIKA LA RELI (TRC) - Nilitegemea reli ya kuelekea Mikoa ya Kaskazini ingekuwa kwenye matengenezo makubwa ili kuweza kutumia treni za kisasa kupeleka mashabaki,abiria na watalii Arusha na Moshi,kama tunavyojua,kuna uwanja wa michezo ambao utatumika kwenye michuano hiyo unajengwa huko,Hivyo mashabiki kutoka Mataifa mbalimbali watakuwa wanaenda huko kutazama timu zao,hivyo reli ilipaswa iwe kipaumbele,hadi hivi sasa ni holaaaaaa na ninavyoifahamu hii nchi hakuna kitakachofanyika!

3.HUDUMA YA MAWASILIANO (INTERNET)

Hapa ndiyo kutakuwa na matatizo makubwa kuliko tunavyodhani,hapo Benjamini Mkapa kuna muda tuliambiwa uwanja baada ya kufanyiwa marekebisho kulikuwa na WiFi ya Bure,baada ya kuzama pale siku moja kutazama mechi hakukuwa na WiFi wala shoga yake na Bure!,Sasa wanasiasa wao wanadhani uongo utawagharimu Watanzani mazumbukuku tu lakini huu ukanja nja wa wanasiasa waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania utaenda kuliaibisha Taifa!

Ukiwa Dar es salaam tu huwa changamoto ya kimtandao hasa upande wa Internet ni kubwa mno,sijui huko mikoani hadi huo Mwaka 2027 hali itakuwaje!

4.MIUNDO MBINU

Kwakuwa/bila shaka Tanzania tutakuwa na miji 2 itakayoandaa hayo mashindano (DAR & ARUSHA)

Nadhani hapa ndipo kutakuwa na dhihaka kuliko tunavyodhani,Kwa upande wa Arusha huko ni Vituko wala hata sina haja kuongea maana watu wa huko wanaelewa!

Upande wa Dar es Salaam ndipo kutakuwa na Vituko zaidi ya Arusha,Hebu fikiria mgeni anatokea nje anaambiwa Tanzania kuna RAPID TRANSPORT (UDART) na yeye anahitaji kujipatia uzoefu maana pengine Taifa la Afrika analotoka hawana mradi kama huo,Hivi atakachokutana nacho pale Kimara,Morocco au Kivukoni unadhani atakipenda?,Hii aibu sijui tutaificha wapi walahii!

Hebu fikiria linapiga Bogi la maana linaijaza Jangwani halafu magari yanashindwa kupita na wakati huo huo huyo mgeni anayo tiketi hajui afanye nini,bora sisi wenyeji wa Mjini utajiongeza namna ya kufika uendako!

Hebu fikiria tu mgeni ananunua tikeni badala ya ku-scan anakutana na watu pembeni ya mashine wanachukua tiketi yake wanaichana kisha wanamrudishia au wanaitupa kwenye Bin!

5.UMEME & MAJI

Hapa sina haja ya kusema maana hii kero sijaona wa kuja kuitatua!,Hapa pia ni sehemu ya Aibu tutakayoitia mwaka huo,pamoja na porojo za KAOLE SANAA GROUP kila uchwao lakini hakuna chochote kitakachofanyika,yaaani tutachekwa huko mataifani hadi aibu!

6.KUFUNGIA MITANDAO (TWITTER)

Wazee wa KAOLE SANAA GROUP ngoja wadhani kuna mtu wanamkomoa lakini wakifungia huu mtandao mtakuja kuona tutakavyosemwa huko Duniani maana wageni wengi watahitaji kutuma taarifa kwa kitakachokuwa kinaendelea hasa wanahabari,sasa wakisikia Serikali ya Tanzania imezifungia Twitter & Club house ndiyo tutasemwa hadi badi,hii leo mnaweza sherehekea lakini muda utakuja wazee wa KAOLE SANAA GROUP mtalia kwa kwi kwi!

UKIHITAJI KITUKO HIKI BONYEZA 0077
 
2025 tutakuwa na uchaguzi mkuu baada ya hapo usijali tutakutendea haki Tena chap Kwa haraka kwasasa tusamehe akili zetu tumezielekeza kwenye chaguzi 2024-2025. We do better than those you think they do well
 
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom