Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 May 4, 2020 #1 Mimi ni mtumiaji mpya wa twitter ila haya maneno bado sijajua maana yake wanayatumia sana huko hasa kigogo 2014. Mwenye kujua itapendeza sana kama tutajuzana "Wapwa na MATAGA"
Mimi ni mtumiaji mpya wa twitter ila haya maneno bado sijajua maana yake wanayatumia sana huko hasa kigogo 2014. Mwenye kujua itapendeza sana kama tutajuzana "Wapwa na MATAGA"
zege la nyasi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 938 Reaction score 1,255 May 5, 2020 #2 Subiri wapwa waje ila MATAGA hayatajisema hapa😂😂😂 Usishangae wewe kuwa mmoja wa hiyo misimu ....
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,448 Reaction score 1,790 May 5, 2020 #3 Kuna mtu humu aliandika kuwa ni Make Tanzania Great Again (mimi ni mgeni pia wa hili neno, so i stand to be corrected ) Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu humu aliandika kuwa ni Make Tanzania Great Again (mimi ni mgeni pia wa hili neno, so i stand to be corrected ) Sent using Jamii Forums mobile app
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Nov 10, 2020 #4 Abuu abdurahman said: Make Tanzania Great Again Click to expand... Leo ndio nimejua, iwapo hii ndio maana yake iliyousudiwa
Abuu abdurahman said: Make Tanzania Great Again Click to expand... Leo ndio nimejua, iwapo hii ndio maana yake iliyousudiwa
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,960 Reaction score 2,455 Nov 10, 2020 #5 Make Tanzania Great Again
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 10, 2020 #6 Wapwa - wanaofanana... Mataga - Bendera kufuata upepo... Cc: mahondaw