Wapwa, MATAGA maneno yana maana gani?

Wapwa, MATAGA maneno yana maana gani?

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Mimi ni mtumiaji mpya wa twitter ila haya maneno bado sijajua maana yake wanayatumia sana huko hasa kigogo 2014.

Mwenye kujua itapendeza sana kama tutajuzana "Wapwa na MATAGA"
 
Subiri wapwa waje ila MATAGA hayatajisema hapa😂😂😂

Usishangae wewe kuwa mmoja wa hiyo misimu ....
 
Back
Top Bottom