Wapwa mnafanyaje mpaka mnapata wachumba humu?

Acha tu mzee. Mi kuna mmoja tu namtaka. Sijawahi muona face ila jina na mwandiko wake mi oi.

Anaanzia na L
🀣🀣🀣Mtaje by harmonize
 
Mmoja amenikataa akasema eti mm ni mtoto mdogo nitafia kifuani sasa dah,πŸ˜‚ πŸ˜‚ hi haiendi
 
Mmoja amenikataa akasema eti mm ni mtoto mdogo nitafia kifuani sasa dah,πŸ˜‚ πŸ˜‚ hi haiendi
Huyo anakupenda wameanza kuja, 🀣🀣, af pia kafkisha ujumbe atakuwa single mommmmmy
 
Kweli mshamba hachekwi🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…