Wapwa mnafanyaje mpaka mnapata wachumba humu?

Tengeneza ID nyingine, then anza kuitongoza hiyo ID. Wakati unaitongoza yenyewe ianze kuonyesha ipo serious, halafu baadaye unaibadilishia character, unaifanya ianze kukuelewa.
Ni hivyo tu. Naomba kuwasilisha.
Umetisha sana mkuu🤣🤣🤣👊
 
Tengeneza ID nyingine, then anza kuitongoza hiyo ID. Wakati unaitongoza yenyewe ianze kuonyesha ipo serious, halafu baadaye unaibadilishia character, unaifanya ianze kukuelewa.
Ni hivyo tu. Naomba kuwasilisha.
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…