tatizo ni pale itakapobasti na hatojua kama imefanya ivo. ajaribu moja,mbili, tatu then aseto mwenyewe. sema mwana asikae sana kwenye zile za sh.100 unapewa tisa. sio.
Mimi na huyu mlala pembeni yangu kihalali, tukiwa na akili timamu na bila ya kulazimishwa na mtu yeyote tukiwa na nia moja na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote tumeamua kutumia kondom kama njia ya kufanya uzazi wa mpango. Tuko katika mtihani mzito wa kuamua aina ya kondom itakayotufaa katika zoezi hili. Hatujawahi kutumia kondom huko nyuma kwa pamoja (mi nlishawahi kutumia kwenye mechi za mchangani, sijui kama wife alishawahi kutumia. Naogopa kumuuliza nisije vunja ndoa yangu kwa wivu)
Nisaidieni ushauri hivi kondom ipi bomba kwa wanandoa. Ya kiume au ya kike? (Wife kama uko JF nisamehe na nakuomba usichangie lolote kwenye hii mada)
Tayari kaka. Tena mshori wenyewe wa humuhumu jamvini. Si umeona watoto wa Beijing leo wamesepa? Wanamuogopa bi mkubwa. Binamu hujanishauri lakini? Ya kiume au ya kike?
Tunakuogopa? tukuogopee nini?Ni vile hatuzitumii hizo kondomu.Kanisani kwetu ni dhambi.Hivyo mimi binafsi sina uzoefu na sitaweza kukushauri vema.Tayari kaka. Tena mshori wenyewe wa humuhumu jamvini. Si umeona watoto wa Beijing leo wamesepa? Wanamuogopa bi mkubwa. Binamu hujanishauri lakini? Ya kiume au ya kike?
Mpwa na ndg yangu chrispin nasikitika sana hutopata mchango wangu kwenye hili swala mimi ni mweupe kbs mwanangu......situmii kbs ila naona tangazo la SALAMA CONDOM kuna jamaa anavaa kikomedi anaingiza kichwa kwenye mdomo wa mamba
Hahahaha! Wife bwana, si nilikuomba usichangie hii mada? Imekuwaje tena?
Mpwa ahsante kwa ushauri wako. Uzoefu kitu muhimu sana. hahahaha lol ultra thin. ultra thin. ultra thin. Nimeshaikariri hiyo.
Chrispin wazo lako la kutumia Condoms kupanga uzazi wa mpango wewe na familia yako ni zuri sana ,kwani hizi njia nyingine kama masindano,vidonge ,yana athari zake
Ila Condom ya Kike mie sishauli maana hata wanavyofundisha utumiaji wake ni mgumu sana ..labda uwaone wataalam wa mambo ya uzazi wakupe ushauri zaidi
mweh kwani wewe umeoa ???🙂
Chrispin wazo lako la kutumia Condoms kupanga uzazi wa mpango wewe na familia yako ni zuri sana ,kwani hizi njia nyingine kama masindano,vidonge ,yana athari zake
Ila Condom ya Kike mie sishauli maana hata wanavyofundisha utumiaji wake ni mgumu sana ..labda uwaone wataalam wa mambo ya uzazi wakupe ushauri zaidi
haya ultra thin ...nbado unakaririiiiiiiiiiii..kuna ingine inaitwa durex feather lite..nzuri pia ( nilisoma kwenye kitabu fulani)))))))
Jamani kwanini usivoluntie kumwelekeza jinsi ya kutumia za kike halafu yeye atafikisha utaalamu kwa mamsapu!
haya ultra thin ...nbado unakaririiiiiiiiiiii..kuna ingine inaitwa durex feather lite..nzuri pia ( nilisoma kwenye kitabu fulani)))))))
Shukrani kwa ushauri mzuri. Kuna mtu aliniambia kondom ya kike moja unaweza kwenda mpaka raundi tatu bila kubadili tofauti na ya kiume. Zoezi la kuvaa na kuvua kila baada ya raundi linaletaga usumbufu kwenye kondom za kiume.