Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

mie sijui

ila watu wa Amref/Angaza sometimez huwa wanapita na kutoa maelekezo ..sijajaribu masa ila nahisi kama mwanamke atakuwa not confotable

Kwanini tusijaribu for experience ili tuweze share na hawa akina Nguli, Chris, ama Fidel?
 
Jamani kwanini usivoluntie kumwelekeza jinsi ya kutumia za kike halafu yeye atafikisha utaalamu kwa mamsapu!

Nachokupendea mpwa ni jinsi unavyonipigia mapande kiaina. Lol! Hahahaha! Damu nzito kuliko maji. Kizuri kula na nduguyo.
 
condom kwa uzazi wa mpango ni kama kwa wiki moja hivi kwa mwezi........sasa hapo crispin ndo unaona tabu kuvaa na kuvua? ...
madhali mmetaka pamoja, mwache mama watoto achukue jukumu la kukuvlisha na kukuvua......mkikubaliana iwe condom ya kiume
 
Nimekuelewa. Baada ya kuisoma uliifanyia practical? Durex feather lite ni ya kiume au ya kike? Nayo nimeshaikariri.

ni ya kiume.....lakini bei yake juu si Tsh100. sasa wewe nawe lazima uandikiwe kila kitu ndio ushike...duh!!! nakwambia ni nzuri tu hapo pengine utajiju!!!
 
Kwa mantiki hiyo kondom za kike no good. Siyo?

kwa mie naona kama hivyo na wewe jaribu kumuuliza wife maana sie akina mama tukiwa pamoja ,maofisi ,madukani kuna vitu vyetu huwa tunashea kimawazo
 
ni ya kiume.....lakini bei yake juu si Tsh100. sasa wewe nawe lazima uandikiwe kila kitu ndio ushike...duh!!! nakwambia ni nzuri tu hapo pengine utajiju!!!

Umeanza vizuuuuri lakini umemalizia vibaya sana.
 
What about withdraw techniques? si ulikuwa mtaalamu sana ww enzi za ujana wako wakati unawadanganya mabinti kuwa unaweza kuchomoa wasipate mimba?

Why not now bana, unaangaika na mamipira bure
 
Unakumbuka enzi za kuwadanganya wadada kwamba nitachomoa usipate mimba?

Ushauri wangu huo.
 
What about withdraw techniques? si ulikuwa mtaalamu sana ww enzi za ujana wako wakati unawadanganya mabinti kuwa unaweza kuchomoa wasipate mimba?

Why not now bana, unaangaika na mamipira bure

Umri ushaenda kaka. Withdrawing force imeshafikia kwenye limit. Hahaha! Unataka kuchomoa gravitational force ina apply.
 
Back
Top Bottom