Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GEOFF:hehehehe!shemeji vipi?mimi leo siongei sana kwasababu nimesahau pasiwedi yangu ya jamii.NIMESHALEWA.mkuu nguli ana mpango wa ZIADA na mpiganaji mimi
Kondom ni za kiume tu ndio zinafaa. Za kike bana kwanza sijawahi kuziona, lakini nikifikiria sehemu ya kike ilivyo, sipati picha hiyo kondom itavaliwaji isitumbukie kimojaa. Halafu nafikiri itakuwa inatoa kamlio flani kama mtu anakoroga uji mzito!
Afu kijiwe chenyewe hakiko mbali na bahari. Afu usalama hauko mbali. Lol! Wapwa na shemeji mnainjoi vibaya. Kama siyo yule kima niliyemshughulikia, timu kamili ingekuwa hapo hivi sasa.
Tuna mwanausalama 1 yuko mbele yetu anakitambi kikubwa sijui gwaride anapigaje....masanilo yu wapi leo?
Kutumbukia? Lol!
Kaka naona unataka kuianzisha ile vita yako ya siku ile. Hahaha! Kuna mtanzania mmoja anajiita bluray sijui, hakyamungu mkikutana vita yake itakuwa kama ya wajerumani na kinjekitile.
Kumbe hujawahi ona! Kuna mademu mashine zao ni super excessively lubricating, halafu anapokuwa tayari inajiachia vilivyo, hakuna utakachoweka mlangoni kisitumbukie ndani. Yaani kama si ngoma, wa dizaini hiyo wanafaa sana kwa mwendo wa flesh2flesh, ni watamu kinoma. Hapo mwana niambie kondom ya kike itatumikaje?
HA HA HA Bluray hatuelewani luga kbs yeye maisha yake yote amekuwa na dictionary mimi nimekuwa na vitabu vingi zaidi so am lacking vocas
Hahaha! Wazee wa mabox kwa ung'eng'e achana nao kabisa. Acha sisi tuendelee kulijenga taifa letu changa.
Unajua box discipline mpwa usifanye mchezo nao, mimi nawakubali sana hawa ni sawa na wanajeshi box zito na msosi wenywe burger kama za moroco(succesiful mbeba box mwenzao aliyerudi). Kule ugali not reachable ....u know wora am sayin' meen dooog!
Nikivaa mawani yangu, Kaka huwa inasomekaga Darling. Vipi unaipenda mawani yangu?
miwani hiyo imesha expire, tuitupe tu...tena ****** kwenye kile choo shimo.. god forbid!! laana kubwa hii isije kwenye familia yetu...incest!!
halafu hizo pombe za kulewa hadi mchana tulishakwambiaga uache mara kibao, lakini wewe umo tu matokeo yake ndio haya...uliona wapi mtu anamwambia dada yake wa damu asimuite kaka....eti darling...uuuwii...my foot over my dead body!
miwani hiyo imesha expire, tuitupe tu...tena ****** kwenye kile choo shimo.. god forbid!! laana kubwa hii isije kwenye familia yetu...incest!!
halafu hizo pombe za kulewa hadi mchana tulishakwambiaga uache mara kibao, lakini wewe umo tu matokeo yake ndio haya...uliona wapi mtu anamwambia dada yake wa damu asimuite kaka....eti darling...uuuwii...my foot over my dead body!
ukiingia uwanjani haijalishi kama umevaa, puma, fila, adidas, nike n.k. umuhimu ni uchezaji tuu. vivyo hivyo suala la kondom, iwe ya kike au kiume wachezaji mkicheza mbofu mbofu mtashtukia imezama au pasuka lol
[/INDENT] h ha ha ah wewe lazima ni mtaalamu wa movie za kinaijaa
Hahahaha! Trip bana? Ndio nini sasa hiki unachosema?