Wapwaz! (na mabiniamuuz!):Will you guys organise the bag-party for the groom

Wapwaz! (na mabiniamuuz!):Will you guys organise the bag-party for the groom

Kama kawa! Ntawatengea chemba yenu ya kupiga vigelegele wakati wazee wazima tunaangamiza vyupa vya baridi!

tukitoka hapo koo zimekauka kau....at least utuwekee na vile vinywaji aina ya nanihii basi tuwe tunalegezea
 
Hahahaha kama kawa lakini kuna watu bana nashindwa hata kusema iwa wanatuangusha sana wapwaaaaazi
naomba uwataje majinaaaazi!kwanini wanatuangusha wapwaaaz,
ha ha hahahahahah!
 
tukitoka hapo koo zimekauka kau....at least utuwekee na vile vinywaji aina ya nanihii basi tuwe tunalegezea
this is bht -THE DADAAAAAZ FOR THE WAPWAAAAZ!

vp,tunahitaji BAG-PARTY FOR THE MPWAAAZ?
NIPE MSIMAMO WAKO
 
namuona carmel hapa anachabo tu!
mam'aa la CARMEL,
Mr wako alifanyiwa BAG-PARTY?😀
 
In this Christmass seasons, I will be saving water by drinking some few vitochis of mbege!

😀😀😀
 
KAMATA senksi nyingine!
sasa hii BAG-PARTY inatufundisha nini sisi!sema tu mpwaaaaz!

Namna ya kuwapa my waifu zetu ile kitu roho yao inapenda! Jinsi ya kuwahudumia (kuwashughulikia) kimahaba (hii ndio muhimu zaidi, tusije kumegewa na serengeti boys)! Ukifanikiwa kwenye hili, everything utapata na Maisha yatakuwa mwendo mdundo! Gonga SENKSI na hapa tafadhali! Hahaha!
 
sijifanyi sijui mpwa, shishi kasema talanta zipo nyingi hebu niPM nione kama ninayo hata japo moja ya hizo zen ntakuja niprovidi sevise
usijali!, hebu cheki hapa chini:
Kama kawa! Ntawatengea chemba yenu ya kupiga vigelegele wakati wazee wazima tunaangamiza vyupa vya baridi!
hii ni sevisi moja wapo.
nyingine kutusogezea makreti ya bia.
kutuchomea wadudu(itabidi waagizwe 3 kutoka morogoro hapo)
 
In this Christmass seasons, I will be saving water by drinking some few vitochis of mbege!

😀😀😀

Hahahaha! Umekula senksi hapo kwa kuingia uvunguni mwa bwashee!
 
Namna ya kuwapa my waifu zetu ile kitu roho yao inapenda! Jinsi ya kuwahudumia (kuwashughulikia) kimahaba (hii ndio muhimu zaidi, tusije kumegewa na serengeti boys)! Ukifanikiwa kwenye hili, everything utapata na Maisha yatakuwa mwendo mdundo! Gonge SENKSI na hapa tafadhali! Hahaha!
ha ha ha ha ha!
kama ni hilo si ningeangalia movie za ngono nikapaste ili nikamuadabishe dada ako?😀

UMEKULA SENKSI
ha ha ha ha ah ahahahah!
 
usijali!, hebu cheki hapa chini:

hii ni sevisi moja wapo.
nyingine kutusogezea makreti ya bia.
kutuchomea wadudu(itabidi waagizwe 3 kutoka morogoro hapo)

Hahaha! MPwa umekula SENKSI! Hapa! Wale wa Moro hawana H1N1! Ni full security kwa wapwaaaz!
 
Hahahaha! Ze Serengeti + Valuer mixing Man!
Mchumba naomba acha hizi valua,bado kidogo kitanda chetu kivunjike.Unaona hapo kwenye dar ekspresi ulivokaa vibaya.

obese-passenger-american-airline-250nm-120409
 
Ziondaughter ,
nipe msimamo wako kuhusu begi-party!PLEASE!
finally watu watajua G anataka nini
 
Mchumba naomba acha hizi valua,bado kidogo kitanda chetu kivunjike.Unaona hapo kwenye dar ekspresi ulivokaa vibaya.

obese-passenger-american-airline-250nm-120409
hahahaaaaaaaaaaaa,
mpwa huyo sio xpin!!.
huyu mbona kama mkuu DARK CITY?????????
 
Back
Top Bottom