Wapwazz na Binamuz duniani kote!

Na muanzisha thread nilikuwa nimetoka kidogo wadau ofisi inayonieka mjini inabidi niipatie heshima yake pia.

Invisble jamani usilalamike sana ila Kaizer did the necessary of informing all those ambao walikuwa wametoa through email labda hujaiona.

Ila kuna kasuprise coming on the way stay tuned sitaki kusema vitu bila kuwa sure 100%.
 
Mi nimenogewa na cape town nimerejea tena dah kama nipo Chuda vile makambako raha tax buku jero popote pale.
 
Du! kaazi kweli kweli, ndo kusema wadada wote tuligoma kwenda kumpokea wifi? Aibu. Kaka Geoff utusamehe tu, wifi tunampenda na tunamkaribisha home kwa mikono miwili, tulitingwa tu na majukumu


Aaaaa FP na hesabu zako hizo bwana hatukugoma ila ni kwamba mambo yalikuwa hayajatulia. Binafsi ilikuwa niende ila karibia na harusi yenyewe mambo yakabadilika ikanibidi nisitishe mpango mzima. Na ambavyo Iringa sijawahi kufika ingekuwa wakati mzuri kabisa wa kwenda huko kukufahamu.
 
Mi nimenogewa na cape town nimerejea tena dah kama nipo Chuda vile makambako raha tax buku jero popote pale.

dah...cape town uende na bastola kabisa lol

vipi koti umeliona au hadi ukalichukue nyumbani? waambie apo usalule kuna valeur nusu nimeiacha wakupeu boost kwanza mpwa
 


Nimekuvulia kofia! Uliwahi kuishi kwenye konvieti za watawa nini? Inaonekana neno limekaa kweli kweli.

Naanza kuona mwanga huko mbele. Hafi mtu hapa, kila kitu kikwama tutajoin JF Bible Fellowship Church, Bishop wetu si mwingine ni FL1.

Mungu akutangulie na shetani ashindwe ili Bwana atawale milele.
 
dah...cape town uende na bastola kabisa lol

vipi koti umeliona au hadi ukalichukue nyumbani? waambie apo usalule kuna valeur nusu nimeiacha wakupeu boost kwanza mpwa

Mpwa nimeliona nimeomba ulinzi binafsi wa kwenda nao cape town dah mambo ya pale balaa
 

JS si useme tu shem aligundua kuwa kumbe next day ni Vals day kwa hiyo angekuwa peke yake? usijali lakini utahudhuria hako ka-suprise. Cheers!!
 
 
Invisble jamani usilalamike sana ila Kaizer did the necessary of informing all those ambao walikuwa wametoa through email labda hujaiona.
Haa haa haaaa !!!
 

hahaha Dark City nimekupa thanks ingawa invisible kathema ati hizi thanks wengine mmmh ..
ubarikiwe na bwana tunaweza kufungua ka kitengo ketu .
 
Mabinamu mmejitahidi sana kwa moyo wenu wa upendo na kujitoa ni mungu pekee atawalipa thawabu kwa jambo hili ..si kazi ndogo mmeifanya
Kaizer usingizi ulipotea sababu ya hili jambo ,Fidel80 afadhari wewe ulikuwa na kinywaji 24/7 huku unakusanya michango
,MJ1,Carmel,Nguli , JS sijui utaitisha kuvunja kamati (Neva miss ), hivi huyu Zion D au Charity yuko wapi,Nyamayao eeh wasn't me ..Wa 16
keep it up
 
Hongra Geoff; ngusindikile na tulasi veemu!

Kamsevela kingye munyumba!😀
 
ilipendeza sana, na tulifurahia sana
 

Hivi kuna kuvunja kamati tena?? Sikuwa hata nakumbuka lol umenikumbusha FL1. Itabidi niwasiliane na wadau kuhusu hili tufanye mchakato mzima wa kuivunja hiyo kamati.

****NGULI yuko wapi???? Nguli i miss you my dear where you at???? Nikuanzishie thread of lost penpals wa JF???******
 
ilipendeza sana, na tulifurahia sana

Mkuu thanks I am short of words! it was so nice to meet and together we made it happen,

Mi hata sijui nianzie wapi kusimulia....
 

Ah afadhali nilishakata tamaa ati, umenipa matumaini

Hongera Geof na wifi!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…