Wapwazz na Binamuz duniani kote!

Wapwazz na Binamuz duniani kote!

marafiki wa jf ni ZAIDI YA MARAFIKI!....
i will come and substantiate the statemento!ngoja nikaoge naona mshiki ameshaweka maji bafuni...😀
 
Karibu kaka..... naona umeshaanza kula pensheni lol. Enjoy
 
marafiki wa jf ni ZAIDI YA MARAFIKI!....
i will come and substantiate the statemento!ngoja nikaoge naona mshiki ameshaweka maji bafuni...😀

We...Nenda zako nyumbani..hatuKuruhusu kuja kubonyabonya hapa....
Usije ukaanza kuomba ushauri wa bure mapema kuliko nilivyotegemea...
Piga mwezi kwanza honeymoon ndo uanze kuchezea keyboard ya JF!,,HUH!
 
we...nenda zako nyumbani..hatukuruhusu kuja kubonyabonya hapa....
usije ukaanza kuomba ushauri wa bure mapema kuliko nilivyotegemea...
piga mwezi kwanza honeymoon ndo uanze kuchezea keyboard ya jf!,,huh!
....not i!
PROJEKTI IMEKWISHA HIYO.no more hnymn.me nipo job napiga mzigo kama kawa
 
marafiki wa jf ni ZAIDI YA MARAFIKI!....
i will come and substantiate the statemento!ngoja nikaoge naona mshiki ameshaweka maji bafuni...😀

Naam! Vita ni vita tu...😀
 
We...Nenda zako nyumbani..hatuKuruhusu kuja kubonyabonya hapa....
Usije ukaanza kuomba ushauri wa bure mapema kuliko nilivyotegemea...
Piga mwezi kwanza honeymoon ndo uanze kuchezea keyboard ya JF!,,HUH!

......baaaambie mzee PJ, huyu kijana hii mambo hairudii asipoitumia vizuri now......!

....not i!
PROJEKTI IMEKWISHA HIYO.no more hnymn.me nipo job napiga mzigo kama kawa

.......Weweeeeeeeeh kijana ebu fichama bana......inatakiwa now uwe unabofya sms kny kilongalonga tu na wifi......at least for the next one month bana........!
 
Hamjambo wapwazz na binamuzz???
 
......baaaambie mzee PJ, huyu kijana hii mambo hairudii asipoitumia vizuri now......!

.......Weweeeeeeeeh kijana ebu fichama bana......inatakiwa now uwe unabofya sms kny kilongalonga tu na wifi......at least for the next one month bana........!

hahaha mkuu NL nakufeel sana apo...ila hiyo ni normatively speaking....rationally yuko job and life has to go on mpwa! lol
 
....nasikitika kwamba I CAN'T PRETEND!...i love my wife THAT'S FINAL!lol.no room for pretending.maisha yetu yote ni hnymn.kwa sasa mshiki yupo laibrare kazima na simu
 
Nipo shule imenibana mbona nilimpa Fidel80 ujumbe jamani awape?

hahaha fidel80 amepotea kabisa lakini mi nakuulizia wewe kwanza kumbe ulikuwa shule..lol haya soma kwa bidii
 
zimebaki hadithi tu!

Karibu mkuu. Honey moon imeisha? Au ndo umeanza kumiss vitu ulivyovizoea?

Kila la heri bro na naamini practicals zimeshaanza baada ya kumalizana na theory + njonzi!!
 
AHSANTE KIONGOZI!nipo kazini kama kawaida...!honeymoon inaendelea as long as i will be with her...!

sasa hivi ni praktiko na maadili.SENKSI
 
hahaha mkuu NL nakufeel sana apo...ila hiyo ni normatively speaking....rationally yuko job and life has to go on mpwa! lol
......da mzee maisha yenyewe mafupi......kijana alitakiwa ale bata kwanza, project hizi hazijirudii.......! But I well understand on the other side of the coin....wakoloni huwa wagumu sana kuelewa somo....ha!ha!ha!ha!aaa.

....nasikitika kwamba I CAN'T PRETEND!...i love my wife THAT'S FINAL!lol.no room for pretending.maisha yetu yote ni hnymn.kwa sasa mshiki yupo laibrare kazima na simu

....he!he!he!heeeeh naona hommie umekaza uzi mwenyweeeeeeee.......fine mzee....but I wanted utafune bata kwanza bana....!

BWT: Kina Kaizer aka mzee wa manote, wamekushawishi mvunje kamati mapema hivo mzee?
 
......da mzee maisha yenyewe mafupi......kijana alitakiwa ale bata kwanza, project hizi hazijirudii.......! But I well understand on the other side of the coin....wakoloni huwa wagumu sana kuelewa somo....ha!ha!ha!ha!aaa.

....he!he!he!heeeeh naona hommie umekaza uzi mwenyweeeeeeee.......fine mzee....but I wanted utafune bata kwanza bana....!

BWT: Kina Kaizer aka mzee wa manote, wamekushawishi mvunje kamati mapema hivo mzee?

actually (lafudhi ya kihaya apo) tumeivunja rasmi jana mkuu! LOL
 
Back
Top Bottom