GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
wapwazzzz salaam!!,
napenda kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya mwaka mpya 2010!.
MENGI NIMEJIFUNZA kwa muda mfupi hapa JF, mkuu FIDEL uko juu haswa kwenye kuoganaizi get tugeza!, hii inawezesha kufahamiana na wapwazzz, mkuu GEOFF nakupa bigup sana hasa kwa tukutuku yako kunipa kampani mara kadhaa na kupiga kambi eidha chawote au kwa kinibu!!.
wapwazzz wengine KAIZER na 'the pilllar' XPIN mzee wa O-pub mko juu pia, wengine sikubahatika kukutana nao kina ZD, CARMEL, BHT, NGULI, etc etc etc ila natumaini mwaka 2010 nitakumbana nao kwenye get tugeza kadhaa!.
salaam zangu ziwafikie wana JF WOTE popote mlipo bila kujali ni MPWAZZ au LEGENDZZZ!, wote JF inatuunganisha.
WISH U ALL HAPPY NEW YEAR 2010!!.
CLICK HERE