Waraka: Diamond Platinumz kuhusu Zari

watu wanacoment kiwaraka waraka mleta uzi ni noma heading baabkubwa kilichomo ndani sasa teh teh teh teh
 
Huo undani uko wapi? Seems like common knowledge...women 101
 
Labda mimi ndio sijui maana ya waraka, waraka gani wa mstari mmoja.?
 
Guys huu ni ujumbe wa harass name soon waraka au sijamuelewa mleta uzi?
 
Guys huu ni ujumbe wa haraka na sio waraka au sijamuelewa mleta uzi?
 
daaaah division 5 at work, yaani tittle ya habari haiendani, wala haishaabiani na ujumbe wenyewe......................hivi waga mnavisoma mnavyoviandika kabla ya ku vipost????? nini hiki sasa? tangia lini waraka ukawa na paragraph moja??
 
Usukumani kuna majani yanaitwa lugobi! nadhani huu sio uzi ila ni lugobi.
 
Kwani ekuwaje hadi umpe ushauri huo?

Haujaina kuna mambo mazuri anafanya tangu awe nae...kama kukumbuka kwa Tandale na kutaka kutenda mema...etc

Diamond now amekaa kujiendeleza zaidi hata hayuko busy kama zamani now angekuwa anarusha rusha maombi ya kupigiwa kura hiyo hana tena... Now ubusy jujitangaza na nyimbo akitoa....anajihengea maisha...na nyumba kamalizia na ku kuipamba vizuri kwa alivyotaka...

Niambieni amekuwa na denu gani ndani ya miezi sita tukaonaga anatenda mengi hivi?
 
Mimi kama mwanaume najisifia kwa kufahamu wanawake KWA undani zaidi, namshauri diamond wanawake ni watu wa kubadilika badilika kutokana na mahitaji yao awe makini sana na mademu la sivyo atapoteza ramani
Ulitaka akachukue wanawake wa buku tatu pale kimboka buguruni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…