chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
watu wanacoment kiwaraka waraka mleta uzi ni noma heading baabkubwa kilichomo ndani sasa teh teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh huu ni waraka au sms?
ha ha ha basi sio waraka ila ni "sentensi kwa diamond"
Ulitaka akachukue wanawake wa buku tatu pale kimboka buguruni?Mimi kama mwanaume najisifia kwa kufahamu wanawake KWA undani zaidi, namshauri diamond wanawake ni watu wa kubadilika badilika kutokana na mahitaji yao awe makini sana na mademu la sivyo atapoteza ramani
nami ngekua mteja wako kila siku ningenunuazari/diamond I wish ningekuwa na gazeti kila siku nawaaandika