STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Kama wewe uko Inlove na mtu,huyu mtu asubuhi hakutafuti yuko bize,ila ikifika usiku,tena usiku wa manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na maswali ya kipuuzi,eti 'umelala'?Sasa unadhani sa6 ntakuwa nachambua mchicha au? Utasikia nimekumiss amka basi tuongee kidogo KAMA UNANIPENDA MIMI,khah Kama kweli unampenda ulikuwa wapi kunifind asubuhi kunisalimu,au mchana kunikaribisha Lunch?
Yaani utumike huko weeee,sa6 usiku ndo unimiss mimi,unaumwa!Siamki!Haya mahaba ya Vibwengo siyataki,mapenzi gani ya usiku wa manane,akikupigia simu mwambie mi sio Kibwengo!Mahabahadi Cheka time ya bure?
Mwishowe niongelee usingizini uniulize Password za benki bure nitoe siri maana mazungumzo ya Usingizini unaweza ukasema visivyosemwa unakumbuka ukiamka!Kama unampenda,mtafute asubuhi au mchana,mahaba ya usiku waachie Watoto wa sekondari Siamki Ng'oo!
Kwahisani Ya Watu Wa dubai.