Waraka kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe, Bibi Rose Mayemba kwenda kwa Askofu Mwamakula

Mungu Jehova uonae sirini kama kweli ndugu zetu wametenda hayo basi wahukumiwe lakini kama wanasingiziwa basi Bwana Yesu uwatetee ! tuna kiongozi wa Ajabu kesi iko mahakamani Jana Zanzibar anasema kuna chama kimehusika na mauaji wakati wao na chama chake mauaji yao yako dhahili .. Alphonse Mawazo damu yako bado naikumbuka Tundu Lissu saa saba mchana kapigwa risasi Ben SAA nane sijui yuko wapi Watanzania tufanye uamuzi tukapige kura za hasira kuwaenzi ndugu zetu kiongozi bora ni yule anayetenda haki bila kubagua vyama eti msipochagua wabunge wa Ccm sileti maendeleo kwani ww nani na hizo fedha siyo za kwako ni za umma.
 
Chadema ni majambazi ikiwemo na wewe pia ,Zwazwa mkubwa
 
Hopefully watasomewa mashtaka fasta sana ili haki ipatikane, hakuna kesi hapo na kw ajinsi walivyo na papara kawaida huwa, wanchemka kufile case.
 
Uchunguzi wa nani aliyefanya mauaji uendelee. Kama inaonekana kwetu kwamba wameonewa basi tuisaidie police kwa kupeleka ushahidi wa ukweli tunaoujua ili hawa tunaoona kwamba wameonewa wawe huru
 
Upole umezidi ndiyo maana watu wanafanyiana ushenzi baada ya kudhulumiana na mwisho wanawasingizia wapinzani wao Wa kisiasa. Kwani simu ya mtuhumiwa inaonyesha nani mtu Wa mwisho kuwasiliana naye na alikuwa eneo gani?
Wafanye nini kwa mfano.Mtizamo wangu binafsi ni kuwa pasiwe na makabiliano na serikali/CCM ya kutumia nguvu.Kama ilivyotokea serikali za mitaa na naomba itokee tena katika uchaguzi huu,ushindi wote uende kwa CCM Bunge lote,serikali yote.Tutakuwa na miaka mitano ya wapinzani kutafakari na pia CCM kutafakari.Wachukue vyote tubaki na amnai na shughuli zetu!!
 
Huwajui Chadema wewe, wanaweza kwenda extra miles provided kuna fungu. Ni chama cha ajabu hata shetani mwenyewe atakuwa anawapenda.
Toka kumekuwa na kesi za namna hiyo, IPI imewahi kuwa approved kuwa Chadema wanashiriki mambo hayo usemayo?
Tumeona kesi ya tindikali ya Tesha iliishia kujulikana Mwigulu alikuwa anamtumia. Rwakatare na ugaidi nayo ni ujinga tuu nk nk.
 
Tatizo ni utawala wa mabavu wa ccm unaofanywa kiuonevu sana
 
Hata makatili wengine akina Bokasa, iddi Amin, Yahaya Jameh, nk, mwisho wao ulifika
 
Reactions: BAK
Noted CHADEMA MAKAO MAKUU - KITENGO
 
Kabisa Mkuu...
 
Kama ni wao kweli walimuua yule kijana wasitegemee huruma yoyote, muda wao utafika na wao watakula kifungo cha maisha, siasa si sababu ya kuua wengine.
Hili uliloandika ni sahihi lakini haki lazima itendeke pande zote, kwanini ulizimishe watuhumiwa wawataje watu? Pili mawazo wa chadema aliuawa lakini hakuna aliyekamatwa hadi leo je ni sawa wafuasi wa chadema kuuawa na ni kosa wafuasi wa ccm kuuawa?
 
Mungu atawashindia. Nyakati hizi ngumu ambapo shetani ametawala. Ni Mungu tu Bwana wa Majeshi aweza kutusaidia. Na Kwa jina la Yesu kristo natamka kufunguliwa Kwao. Wote tuseme amen!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…