( MDUDU WA AJABU ANAETESA ULIMWENGU SASA KAINGIA MASHULENI NA VYUONI )
JINSI MDUDU HUYU WA AJABU ANAVYOFANYA KAZI
SHULE ZA MSINGI
SHULE YA SEKONDARI NA VYUONI,
FAIDA WANAYOIONA MATEJA WA MDUDU HUYU WA AJABU.
Wanaona kwamba wanajitosheleza wenyewe na kujilizisha pia na kutoa kiu pamoja na matamanio ya Mioyo yao.
HASARA ZA MDUDU HUYU MBAYA.
Ngoja tuangalie madhara machache yatokanayo na Mdudu huyu wa Ajabu.
1. Inaweza kupelekea kupoteza kumbukumbu
2. Inapelekea kuwa na madhara ya Kisaikolojia.
3. Hupelekea kuwa na uchovu na usingizi wa mara kwa mara
5. Pia hupelekea kuwa mtumwa au Teja wa Mdudu huyo.
6. Hupelekea kuathiri mfumo wa Ufahamu.
7. Pia hupelekea mwili kuwa dhaifu.
8. Kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi
NAMNA YA KUFANYA ILI KUMPUNGUZA NGUVU MDUDU HUYU WA AJABU.
Mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita anaejulikana kama Nathan, tulikutana mwezi uliopita wakati tumekutana mazungumzo yetu yalikuwa kuangalia namna wanafunzi na wanachuo wanavyoishi wakiwa shuleni na vyuoni, yeye nathani alianza kunielezea namna anavyoishi shuleni na alivyo athirika kisaikoloji kwa sababu ya kujichua alilaumu sana zaidi ya sana. Sasa kutokana na maelezo ya mtu huyu Nathani niliumia sana ndio maana nimeamua kuandika waraka huu kutoka mashuleni pamoja na vyuoni ili kwamba kitengo cha elimu na wadau wengine tusaidiane namna ya kupunguza janga hili linalosumbua wanafunzi wetu na wanachuo wetu.
Tufanye nini jamani kujinasua na Mdudu wa ajabu anaetesa ulimwengu. Sasa Mdudu huyo wa ajabu ameingia na kuvamia shule za msingi, shule za sekondari na vyuoni pia. Mdudu huyo wa ajabu amefungasha Ushoga, Usagaji, Uvutaji bangi, Ulawiti , madawa ya kulevya na Punyeto/ Kujichua.
MUNGU wee tuepushe na janga hili la mdudu huyu wa ajabu: Amekuja na nguvu na ana nguvu kama mauti, ameingia mashuleni na vyuoni, sasa anateketeza watoto, vijana na mabinti wa shuleni na vyuoni.
Tufanye nini jamani kujinasua na Mdudu wa ajabu anaetesa ulimwengu. Sasa Mdudu huyo wa ajabu ameingia na kuvamia shule za msingi, shule za sekondari na vyuoni pia. Mdudu huyo wa ajabu amefungasha Ushoga, Usagaji, Uvutaji bangi, Ulawiti , madawa ya kulevya na Punyeto/ Kujichua.
MUNGU wee tuepushe na janga hili la mdudu huyu wa ajabu: Amekuja na nguvu na ana nguvu kama mauti, ameingia mashuleni na vyuoni, sasa anateketeza watoto, vijana na mabinti wa shuleni na vyuoni.
JINSI MDUDU HUYU WA AJABU ANAVYOFANYA KAZI
SHULE ZA MSINGI
Mdudu huyu wa ajabu ametesa sana watoto wa shule za msingi, watoto hawaingii madarasani kisa haja zao zimeharibiwa, watoto wa kike na wa kiume haja zao hazina breki wanajinyea mara tu wanapohisi haja kubwa, hutokwa na uchafu mbaya wa kinyesi wenye harufu mbaya, watoto hawaingii madarasani kisa kujichua pamoja na kupiga punyeto sasa misuli ya viungo vyao imelegea wameathirika kisakolojia hawajui wafanye nini, maana wanaona aibu kuingia madarasani. Mungu wee watapataje kupona watoto wetu wasipojali wokovu mkuu namna hii? Wazazi nao hawana mda na watoto wao wamewaachia mabinti wa kazi, watoto hawataki shule tena sababu wameumizwa hawana pakueleza maana wazazi wao wamekuwa wakali na kuwalazimisha kwenda shule bila kujua kwamba watoto huumizwa sana shule sababu wazazi hawana mda wa kukaa na kuwakagua watoto wao.
Wazazi na waalimu tujaribu kukaa, kuwashauri na kuwakagua watoto wetu ili kupunguza makali ya huyu mdudu wa ajabu.
Wazazi na waalimu tujaribu kukaa, kuwashauri na kuwakagua watoto wetu ili kupunguza makali ya huyu mdudu wa ajabu.
SHULE YA SEKONDARI NA VYUONI,
Mdudu huyu mbaya anaendelea kuteketeza vijana na mabinti wetu wa sekondari na vyuo, wanafunzi hawa hupoteza mda mwingi wakiwa wanasagana, wanafilana, wanapiga punyeto au kujichua wanajifunza kuvuta bangi na kunywa madawa ya kulevya, ambavyo vimewapelekea kupoteza dira ya maisha yao, pia wameathirika kisaikolojia baadhi ya viungo vimelegea na kupoteza nguvu za kiume, wanawaza lakini hawapati msaada wala hawawezi kujinasua tayari wamekuwa teja wa jambo hilo. Waalimu wakijaribu kuadhibu hupigwa na kudharirika mbele ya wanafunzi wengine. Mungu wee watapataje kupona vijana na mabinti hawa wasipojali wokovu mkuu namna hii? Mdudu huyu mbaya ni hatari sana anatesa pia anaua pia.
FAIDA NA HASARA ZA MDUDU HUYU WA AJABU.
FAIDA NA HASARA ZA MDUDU HUYU WA AJABU.
FAIDA WANAYOIONA MATEJA WA MDUDU HUYU WA AJABU.
Wanaona kwamba wanajitosheleza wenyewe na kujilizisha pia na kutoa kiu pamoja na matamanio ya Mioyo yao.
HASARA ZA MDUDU HUYU MBAYA.
Ngoja tuangalie madhara machache yatokanayo na Mdudu huyu wa Ajabu.
1. Inaweza kupelekea kupoteza kumbukumbu
2. Inapelekea kuwa na madhara ya Kisaikolojia.
3. Hupelekea kuwa na uchovu na usingizi wa mara kwa mara
4. Pia husababisha kuwa na msongo wa mawazo.
5. Pia hupelekea kuwa mtumwa au Teja wa Mdudu huyo.
6. Hupelekea kuathiri mfumo wa Ufahamu.
7. Pia hupelekea mwili kuwa dhaifu.
8. Kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi
NAMNA YA KUFANYA ILI KUMPUNGUZA NGUVU MDUDU HUYU WA AJABU.
- Serikali pamoja na wadau wengine wasaidiane kutoa elimu kuhusiana na madhara juu ya Mdudu huyo wa ajabu ambaye amefungasha Ushoga, Usagaji, Uf****i, Uvutaji bangi, Ulawiti , madawa ya kulevya na Punyeto/ Kujichua.
- Ikiwezekana serikali ishirikiane pamoja na waalimu, pamoja na wazazi waangalie namna ya kufanya hata kwa kutoa adhabu kali kwa wanafunzi hata ikiwezekana kuwaingiza mahabusu au jela pamoja na kufukuzwa shule na vyuo kwa yeyote atakae gundulika anajishughulisha na tabia hizi za mdudu huyu wa ajabu.
- Wanafunzi na wanachuo lazima wajikite kwenye kusoma kwa bidii sana na kujikita kuwa wabunifu wa mambo tofauti tofauti.
- Ili mwanafunzi au mwanachuo awe mbali na tabia za kujichua lazima awe mbali na tabia ya kujitenga tenga na kuwa mbali nakujishika shika sehemu za siri, na awe mbali na kuangalia picha au video za utupu au uchi pamoja na picha au video za kimapenzi bali apende kucheza na wenzake.
- Pia inatakiwa kila mwanafunzi au mwanachuo kujitenga na vikundi vya mitaani au shuleni au chuoni vyenye tabia ya mdudu huyu wa ajabu.
MUNGU ATUSAIDIE SANA NA KUTUEPUSHA NA MDUDU HUYU WA AJABU;
ASANTENI SANA
ASANTENI SANA
Upvote
2