umeusoma huo waraka au umesimuliwa tuAmetangaza kwamba kuanzia July 2016 Halmashauri zote zitakusanya zenyewe mapato bila kutumia mawakala.
tenda za kukusanya ushuru zipo mikononi mwa watu binafsi ama serikali?, eleza vizuri jomba!!! Kwani walikuwa wanakusanyaje?Ambacho hujaelewa hapo ni nini?
tenda za kukusanya ushuru zipo mikononi mwa watu binafsi ama serikali?, eleza vizuri jomba!!! Kwani walikuwa wanakusanyaje?
serikali ilikuwa inaingia mikataba na mawakala(watu binafsi) ili wakusanye kwa niaba ya serikali.wakala alitakiwa kulipa kiasi fulani kwa serikali na ajikusanyie anavyotaka.mf unapewa ubungo terminal,unaipa serikali 50m kwa mwezi,wewe unakusanya mpaka 200m kwa mwezi.CCM wamekula sana nchitenda za kukusanya ushuru zipo mikononi mwa watu binafsi ama serikali?, eleza vizuri jomba!!! Kwani walikuwa wanakusanyaje?
Get u!!serikali ilikuwa inaingia mikataba na mawakala(watu binafsi) ili wakusanye kwa niaba ya serikali.wakala alitakiwa kulipa kiasi fulani kwa serikali na ajikusanyie anavyotaka.mf unapewa ubungo terminal,unaipa serikali 50m kwa mwezi,wewe unakusanya mpaka 200m kwa mwezi.CCM wamekula sana nchi
Individual ministerial responsibility or Ministerial responsibility is a constitutional convention in governments using the Westminster System that a cabinet minister bears the ultimate responsibility for the actions of their line of accountability .kwa makosa gani?
awajibike kwa kushindwa kusimamia halmashauri,kupuuza ushauri wa CAG kwa mda mrefukwa makosa gani?
kwa makosa gani?
tenda zote za kukusanya ushuru wa serikali ni watu kampuni binafsindio zinapewa uwakala wa kukusanya na hii ni kwa mujibu wa sheria za manunuzi swali kama ni kweli katoa waraka hiyo sheria imebadilishwa lini au ss hivi kila anaemka anatoa waraka pasipo kuangalia sheriatenda za kukusanya ushuru zipo mikononi mwa watu binafsi ama serikali?, eleza vizuri jomba!!! Kwani walikuwa wanakusanyaje?
Litakuwa jambo jema sanaAmetangaza kwamba kuanzia July 2016 Halmashauri zote zitakusanya zenyewe mapato bila kutumia mawakala.