Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawe na mashine za EFD Maxmalipo kama za matrafiki,hapo itakua wamekomesha.Tatizo hao hao wafanyakazi wa halmashauri watakula rushwa.Bora watu binafsi unampa lengo nae anakufa na wafanyakazi wakeWadau nimepata tetesi kuwa waziri wa Tamisemi Mhe Simbachaweni ametoa waraka kwa halmashauri nzote nchini wasitangaze tenda za kukusanya ushuru ili Serikali ikusanye yenyewe kwa mwaka huu naomba mwenye taarifa atujuze naomba kuwasilisha hoja matusi na kejeli hazifai
serikali ilikuwa inaingia mikataba na mawakala(watu binafsi) ili wakusanye kwa niaba ya serikali.wakala alitakiwa kulipa kiasi fulani kwa serikali na ajikusanyie anavyotaka.mf unapewa ubungo terminal,unaipa serikali 50m kwa mwezi,wewe unakusanya mpaka 200m kwa mwezi.CCM wamekula sana nchi
kwetu wapi?Aliekuwa ana miliki kitalu cha Mabasi Ubungo kishaachana na CCM kahamia kwenu kama vipi mtumbueni!
sio kweli kabla ya kutangaza tenda huwa wamefanya study wanajua chanzo husika kinaweza kutoa fedha kiasi gani na mara nyingine wazabuni huwa wanataja kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinapelekea wananchi kuumizwa ingawaje kuna baadhi ya maeneo wale wanao toa kazi wanajipa kampuni zao na sio Halmashauri zoteserikali ilikuwa inaingia mikataba na mawakala(watu binafsi) ili wakusanye kwa niaba ya serikali.wakala alitakiwa kulipa kiasi fulani kwa serikali na ajikusanyie anavyotaka.mf unapewa ubungo terminal,unaipa serikali 50m kwa mwezi,wewe unakusanya mpaka 200m kwa mwezi.CCM wamekula sana nchi
kama ni hivyo basi hakuna tofauti na aliotoa Mhe Hawa Gasia mwaka jana ambao iliwapa dili Max malipo kwani ilikuwa ni kampuni yenye software na mtandao wa kufanya ushawishi kwa kazi hiyo na nadhani wao ndio walishawishi wizara, na Mbona nimesikia Property Tax watakusanya TRA ila kuna kamati ya bunge ikawa na mashaka kwanini mwanzo walishindwa na ss hivi watawezaje?Maafisa waandamizi tumeupata waraka mapema na uko vizuri.Vimetajwa vyanzo specific vikuzanywe na halmashauri na sio mawakala.Ni vile vyanzo tu ambavyo makusanyo yake yako certain.Mfano Property tax,hotel levy,billboard,land rent.kwa kuwa idadi ya mabango na size inajulikana unabinafsisha nini.Yale mengine ya parking fee nk ni kama kawa.Asanteni TAMISEMI kwa kuzingatia ushauri wangu
waraka ni kufunika kombe tu lkn kiukweli WAZIRI ALITAKIWA KUJIUZULU