Tetesi: Waraka kutoka Tamisemi kwenda kwenye Halmashauri zote

Kampuni yako ya kukusanya ushuru imeathirika mkuu,pole ndo kuisoma number jifunze hataa kuwa fundi bomba maisha ya (kilugu.....yanaelekea mwisho
Umenichekesha kweli ww unadhani ni sahihi kama ni kweli katoa waraka wa namna hii
 
hofu zote no halmashauri zilizo chini ya UKAWA, ccm hawako kwa ajili ya wananchi bali uroho wa madaraka
 
Wawe na mashine za EFD Maxmalipo kama za matrafiki,hapo itakua wamekomesha.Tatizo hao hao wafanyakazi wa halmashauri watakula rushwa.Bora watu binafsi unampa lengo nae anakufa na wafanyakazi wake
 
Kwa mpango huo ni kama wamechelewa maana hata hapa Jiji la Mwanza Mawakala wanakusanya 40m wanapeleka 20m .
 
Duu watu watakufa njaa huu simradi wa BRN? Hehehe. Dk kwel upo ikulu sasa wale wamekuwa mpaka Prof ilikuwaje wasiòne haya? Au Brn pia ni jipu? Mashaka kwel jaman
 

Aliekuwa ana miliki kitalu cha Mabasi Ubungo kishaachana na CCM kahamia kwenu kama vipi mtumbueni!
 
Nlisikia hilo jambo pia nasikia tamisemi wamefunga mfumo wa kukusanyia mapato halmshauri zote.Mwenye taarifa atujuze
 
afadhari doh kuna wakala wa kukusanya ushuru maeneo ya bwawa la mtera wilaya ya mpwapwa huyu alikuwa komesha maana tulikuwa tunajuta kufanya shughuri za samaki!
 
Labda kuna namna Mhe simbachawene ameonelea itaongeza mapato pamoja kudhibiti wizi ila hizi halmashauri zinatakiwa ziwajibike kukusanya pesa bila kuweka wizi
 
sio kweli kabla ya kutangaza tenda huwa wamefanya study wanajua chanzo husika kinaweza kutoa fedha kiasi gani na mara nyingine wazabuni huwa wanataja kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinapelekea wananchi kuumizwa ingawaje kuna baadhi ya maeneo wale wanao toa kazi wanajipa kampuni zao na sio Halmashauri zote
 
kama ni hivyo basi hakuna tofauti na aliotoa Mhe Hawa Gasia mwaka jana ambao iliwapa dili Max malipo kwani ilikuwa ni kampuni yenye software na mtandao wa kufanya ushawishi kwa kazi hiyo na nadhani wao ndio walishawishi wizara, na Mbona nimesikia Property Tax watakusanya TRA ila kuna kamati ya bunge ikawa na mashaka kwanini mwanzo walishindwa na ss hivi watawezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…